SMS ya kuasa na kutakia kila la heri katika mapenzi

Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. 

PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka… 

Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.kilalakher kwa umpendae

Share